MESSAGE


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Monday, July 12, 2010

Donald na Upendo Wafunga Ndoa














Hapa akishuka ngazi za gholofa la Benjamini Mkapa Tower akitokea salon

Bibi arusi akipozi katika picha na mpambe wake pamoja na ma-mades
Bibi arusi tabasam kuubwa baada ya kujiona kwenye kioo alivyopendeza
Mpambe wa Bwana arusi akitabasamu baada ya kupendezeshwa
Bwana Arusi akiwa salon na mpambe wake wakiweka nakshi
Keki hiyoooo aliwakabidhi wakwe!
Kwa goti kabisa akiwapelekea wazazi keki! Ndo ameshaanza kuiva hivyo! duh!
Upendo akimlisha keki mama
Keki ilikuwepo, ona ilivyopendeza!
Donald akipelekewa ua ikiwa ni ishara ya kumkaribisha chakulani!
Wakiwa na wapambe wao!
Wakiwa wametulia wadada hawa kwenye siti moja nzuuuri kama inavyoonekana
Hapa ni Upendo akiwa na mpambe wake Orpah wakiingia ukumbini!
Donald akiwa na mpambe wake kwenye send off ya dada Upendo!

Dada Upendo akipongezwa baada ya kuwa mahali imetolewa na kupata uhakika
wa kuwa na mpenzi wake Donald.
Mama mkwe wa Donald akimpongeza kwa Hug kwa kumpata mkwe!
Mama mkwe wa Donald akiwa ameshikilia fungu
katika sehemu ya mahali iliyotolewa

Wakijipanga kujibu mashambulizi ya wakwe
ilibidi watoke nje kidogo kujipanga sawa sawa!

No comments:

Post a Comment