MESSAGE


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Harusi Zetu















































 KKKT- Mbezi Beach ambamo ilifanyika ibada ya ndoa ya Isack na Rosalia

 KKKT Mbezi Beach Katika mtazamo mwingine

 Gari iliyotumika kuwamuvuzisha maharusi

 Wakielekea kanisani tayari kwa ibada ya kufunga ndoa

 Maids walitoka kwa style hii hapa!

 Ma-maids katika pozi jingine

 Isaac akiwa mwenye furaha katika pozi na mama yake

 Prof. Mosha akiwa na my wife wake aliye kulia kwake aliyekulia kwake ni dada mtu

 Baada ya kusema YES I DO ikadhihirisha kwa kumvika pete.

 Bila Kusita Bi Rosalia naye aka-copy na ku-paste Alivyofanya Isaac

 Mchungaji akitoa baraka kwa maharusi

 Bwana nanihii akisaini mkataba wa kuishi na Rosalia for the rest of his life!

 Kama ilivyo ada bibie nae aka-copy na ku-paste

 Wakiwa katika pozi hapa ni Kunduchi Wet n Wild

 Ili mradi tu manjonjo yawepo. Utajuaje kama ni bibi harusi?

 Hapo vipi jamani!

 Pozi la ukweli Bwana harusi akiwa amempakata my wife wake.

 Ubaunsa unahitajika wakati fulani!

 Ukumbi ulipendeza sana. Ulionekana katika hali hii

 Stage ya maharusi ilikuwa hivi

 Maharusi wakiingia ukumbini kwa kujinafasi

 Mshughulishaji Makasi Junior alikuwepo ndani ya nyumba kuliongoza jahazi

 Maharusi wakiwa stejini

 Kwa karibu zaidi

 Hapa walikuwa wakipata supu (starter) kujiweka sawa baada ya kuingia ukumbini

 Bibi harusi hakubaki nyuma katika kuonesha utaalam wake kupiga tarumbeta

Bwana harusi akionesha upendo wake kwa bi Rosalia kwa kumlisha keki

 Mambo ya Mmmmhwaaaaaaaa! nayo yalikuwemo

 Hapa unaona mwenyewe. sina maelezo ya ziada!

 Kamati ya maandalizi wakitoa neno la shukrani wakiongozwa 
na mwenyekiti wako Bwana Sanyiel Kishimbo.



Shangwe, Vifijo na Nderemo vilisikika tarehe 5 Machi 2011 Siku ambayo Abel na Nice walifunga ndoa. Wakiwa wenye nyuso za furaha na bashasha na kupendeza walionekana katika kanisa la KKKT Kijitonyama kuitimiza ahadi yao na kuifnaya kweli kwa kufunga ndoa. Sherehe zilifuatia katika Ukumbi wa Mwika Social Hall Uliopo Sinza Makaburini. Tunawaombea maisha mema katika ndoa.


Wakiwa kanisani tayari kwa ibada ya ndoa.

Bwana Abel Dilunga akiweka sahihi kwenye cheti cha ndoa

Bi nice akiweka sahihi ya uthibitisho wa ndoa


Jamani ona wanavyopendeza


Wakipokea vyeti vyao.

Mmmmmmmmmmmhwaaaaaaaaaaa! 






Furaha na nderemo vilisikika siku ya tarehe 26 Februari 2011
Dr. Peter na Dr. Victoria  walipoamua kufunga ndoa.
Ndoa Ilifungwa katika kanisa la KKKT Kijitonyama. Na pia baadae sherehe 
ikafanyika katika ukumbi wa Lugalo Jeshini
Picha kama zilivyochukuliwa na mpiga picha wa MLEKYS

Maharusi wakiingia kanisani

Dr. Peter Kishimbo
Dr. Victoria Kishimbo
Wakiwa wamependeza kuliko kawaida yao na kwa furaha isiyo kifani
Twaa pete hii....Iwe.... Nikupende..Nikutunze.... Mpaka kifo kitakapotu.....

Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa alikuwepo kufunga ndo hiyo
Maharusi pamoja na wazazi wao katika picha ya pamoja

Hongereni sana......
Wakikaribishwa ukumbini na kinywaji maalum cha jadi
Mnaonaje? Si tumependeza enh?



Mambo ya Keki hayo
Kunywa na mimi ninywe
Mambo ya Ndafu wale wa (Mungu Onyesha Sasa Hela Ilipo) wanaipata vizuri
Hapo vp Vicky?
Ai wewe kula Peter
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi akitoa neno la shukrani

Kwaherini










Jamani kwaheri



 Harusi ya Joel Mugangala na mpenzi wake, Ilifungwa katika kanisa la KKKT Kijitonyama tarehe 26 February 2011. Tunawaombea maisha mema.

Ilikuwa siku ya furaha na shangwe siku ya tarehe 10 Julai 2010
Donald na Upendo walipouaga ukapera na kuamua kufunga ndoa.
Ndoa Ilifungwa katika kanisa la KKKT Kijitonyama. Na pia baadae sherehe 
ikafanyika katika ukumbi wa Istana ulioko Makumbusho na Victoria.
Picha kama zilivyochukuliwa na mpiga picha wa MLEKYS

Upendo Akionekana mwenye furaha kubwa akiwa salon baada ya kuwa amepambwa 
tayari kwa kuelekea kanisani kwenye ibada ya ndoa


Ni furaha tu Upendo akimvika pete mpenzi mume wake Donald baada ya kuwa 
wamekukubaliana kuishi wote kwa shida na raha siku zote za maisha yao.
Aaaah. Tupongezane jamani tumetoka mbali

Wakiingia ukumbini kushereheka pamoja na ndugu jamaa na marafiki


Ai wewe kula kidogo nikudhihirishie upendo wangu! 
duh! mpaka wanamtamanisha
best man.....