MESSAGE


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Friday, August 27, 2010

MSIBA KWAYA YA UINJILISTI KIJITONYAMA


Wapendwa Tunasikitika Kuwapa Taarifa za Msiba wa
Aliyekuwa Mwanakwaya Mwenzetu
Leah Nkonjelwa Aliyefariki Dunia Usiku wa Jana.
Mwili wa Marehemu Utaagwa Kesho Kanisa
la Lutherani Kijitonyama. Saa Tano Asubuhi. "Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina la Bwana Libarikiwe"




Wednesday, August 25, 2010

KIJITO KULIVYOKUWA JUMAPILI HII

Ni Baada Ya Ibada Wachungaji Wakisikiliza Wimbo Ukiimbwa Kabla ya
Kumaliza ibada
Mchungaji toka Makambako Ndiye Aliyetoa Neno Siku Hiyo

Kwaya Kuu ya Kijito Wakiimba Pamoja na Kwaya Toka Makambako

Ni Mwalimu Kisasa Akiongoza Kundi Kubwa la Kwaya Kuu Wakiwa Pamoja
na Kwaya ya Wageni (Kwaya ya Uinjilisti Toka Makambako)

Kwaya Ya Uinjilisti Kijito Wakiwa Katika huduma. Kama Wanavyoonekana
wakiwa katika moja ya ibada iliyofanyika jumapili iliyopita.