Jamani mnaona.... ndivyo alivyosema dada Mage akishangilia ushindi alipokabidhiwa kombe na viongozi wa kwaya.
Dada Maggeni akifurahi huku akishikilia kombe baada ya kundi lake la the BLUES kuwa washindi kwa kutoa sadaka kwa wingi. Jamani makundi mengine igeni mfano huu.
Wanakwaya wakifurahi baada ya Mwenyekiti msaidizi Edmund kuwashirikisha jambo.
Parish Workers nao hawakubaki nyuma, kama wanavyoonekana wakitoa zawadi kwa aliyekuwa parish worker wa Kijito. Bi Monica Mshiu
Ni kama anasema "Mnamwona Alivyopendeza? Kijitonyama wanajua kutunza bwana"
Mch. Mzinga akisema jambo Juu ya utmishi wa wapendwa hawa.
Mwinjilisti Mshiu na mkewe wakipozi kwenye picha wakati wa ibada ya kuwaaga baada ya utumishi mzuri shambani mwa Bwana waliyoifanya Kijitonyama KKKT
Jamani kwaya nzuri sana, ila tu wale watu wanaoenda NGWASUMA NA JUMAPILI WANAINGIZANA KUIMBA PALE JUU MIMBALANI DU NI DOA KWA KWAYA NZIMA... VIONGOZI MPU??? MNAJUA LIST YAO???
Wapendwa tunapaswa kumwomba sana Mungu atuimarishe katika huduma yetu. Kila mmoja atambue thamani ya huduma yake. Tuwa na kiu ya kumjua Mungu zaidi. Hapo tutaweza kuishinda mitego ya mwovu Ibilisi. Mungu ametuheshimu kutupa huduma hii basi nasi tumheshimu kwa kuitenda kwa uaminifu.
Jamani kwaya nzuri sana, ila tu wale watu wanaoenda NGWASUMA NA JUMAPILI WANAINGIZANA KUIMBA PALE JUU MIMBALANI DU NI DOA KWA KWAYA NZIMA... VIONGOZI MPU??? MNAJUA LIST YAO???
ReplyDeleteWapendwa tunapaswa kumwomba sana Mungu atuimarishe katika huduma yetu. Kila mmoja atambue thamani ya huduma yake. Tuwa na kiu ya kumjua Mungu zaidi. Hapo tutaweza kuishinda mitego ya mwovu Ibilisi. Mungu ametuheshimu kutupa huduma hii basi nasi tumheshimu kwa kuitenda kwa uaminifu.
ReplyDelete