Mafundi wa Satellite dish hawa hapa. Kwa mtu anayehitaji kufunga Dish ili kuona Local channel za tv pamoja na hizo nyingine za ughaibuni wasiliana nao kwa namba zifuatazo. 0713-844 944 na0654-386 407
Wanapatikana Namanga- Dar es salaam.
Fundi Faraji akiwa katika kazi anaweka LNB sawa ziweze kunasa frequency vizuri
Julius anacheck LNB na Dish kama viko katika mwelekeo sahihi.
Signal checking!
Hapa anaunga LNB mbili
Hivi ndivyo dish linavyoonekana katika hatua za kuwekwa sawa