Cherekochereko na nderemo vilisikia Katika Kanisa la KKKT-Mbezi Beach wakati mdau
Isack Mrema Alipokula kiapo cha kuwa na Bi Rosalia kwa maisha yake yote.
Na baadae sherehe kufanyika katika Ukumbi wa Budget Resort ulioko Kunduchi.
Kwa Habari zaidi BOFYA HAPA
Waoo
ReplyDelete