KKKT- Mbezi Beach ambamo ilifanyika ibada ya ndoa ya Isack na Rosalia
KKKT Mbezi Beach Katika mtazamo mwingine
Gari iliyotumika kuwamuvuzisha maharusi
Wakielekea kanisani tayari kwa ibada ya kufunga ndoa
Maids walitoka kwa style hii hapa!
Ma-maids katika pozi jingine
Isaac akiwa mwenye furaha katika pozi na mama yake
Baada ya kusema YES I DO ikadhihirisha kwa kumvika pete.
Bila Kusita Bi Rosalia naye aka-copy na ku-paste Alivyofanya Isaac
Mchungaji akitoa baraka kwa maharusi
Bwana nanihii akisaini mkataba wa kuishi na Rosalia for the rest of his life!
Kama ilivyo ada bibie nae aka-copy na ku-paste
Wakiwa katika pozi hapa ni Kunduchi Wet n Wild
Ili mradi tu manjonjo yawepo. Utajuaje kama ni bibi harusi?
Hapo vipi jamani!
Pozi la ukweli Bwana harusi akiwa amempakata my wife wake.
Ubaunsa unahitajika wakati fulani!
Ukumbi ulipendeza sana. Ulionekana katika hali hii
Stage ya maharusi ilikuwa hivi
Maharusi wakiingia ukumbini kwa kujinafasi
Maharusi wakiwa stejini
Kwa karibu zaidi
Bibi harusi hakubaki nyuma katika kuonesha utaalam wake kupiga tarumbeta
Bwana harusi akionesha upendo wake kwa bi Rosalia kwa kumlisha keki
Mambo ya Mmmmhwaaaaaaaa! nayo yalikuwemo
Hapa unaona mwenyewe. sina maelezo ya ziada!
Kamati ya maandalizi wakitoa neno la shukrani wakiongozwa
na mwenyekiti wako Bwana Sanyiel Kishimbo.
Wakiwa kanisani tayari kwa ibada ya ndoa.
Bwana Abel Dilunga akiweka sahihi kwenye cheti cha ndoa
Bi nice akiweka sahihi ya uthibitisho wa ndoa
Jamani ona wanavyopendeza
Wakipokea vyeti vyao.
Mmmmmmmmmmmhwaaaaaaaaaaa!
Furaha na nderemo vilisikika siku ya tarehe 26 Februari 2011
Dr. Peter na Dr. Victoria walipoamua kufunga ndoa.
Ndoa Ilifungwa katika kanisa la KKKT Kijitonyama. Na pia baadae sherehe
ikafanyika katika ukumbi wa Lugalo Jeshini
Picha kama zilivyochukuliwa na mpiga picha wa MLEKYS
Maharusi wakiingia kanisani |
Dr. Peter Kishimbo |
Dr. Victoria Kishimbo |
Wakiwa wamependeza kuliko kawaida yao na kwa furaha isiyo kifani |
Twaa pete hii....Iwe.... Nikupende..Nikutunze.... Mpaka kifo kitakapotu.....
Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa alikuwepo kufunga ndo hiyo |
Maharusi pamoja na wazazi wao katika picha ya pamoja |
Hongereni sana...... |
Wakikaribishwa ukumbini na kinywaji maalum cha jadi
|
Mambo ya Keki hayo |
Kunywa na mimi ninywe |
Mambo ya Ndafu wale wa (Mungu Onyesha Sasa Hela Ilipo) wanaipata vizuri |
Hapo vp Vicky? |
Ai wewe kula Peter |
|
Jamani kwaheri |
Harusi ya Joel Mugangala na mpenzi wake, Ilifungwa katika kanisa la KKKT Kijitonyama tarehe 26 February 2011. Tunawaombea maisha mema.
Donald na Upendo walipouaga ukapera na kuamua kufunga ndoa.
Ndoa Ilifungwa katika kanisa la KKKT Kijitonyama. Na pia baadae sherehe
ikafanyika katika ukumbi wa Istana ulioko Makumbusho na Victoria.
Picha kama zilivyochukuliwa na mpiga picha wa MLEKYS
Upendo Akionekana mwenye furaha kubwa akiwa salon baada ya kuwa amepambwa
tayari kwa kuelekea kanisani kwenye ibada ya ndoa
wamekukubaliana kuishi wote kwa shida na raha siku zote za maisha yao.
Wakiingia ukumbini kushereheka pamoja na ndugu jamaa na marafiki