Katika hali ya huzuni, simanzi na majonzi mengi. Jana mnamo saa saba na nusu Mchana tulishuhudia Ibada ya Kumuaga Edmund Mushi. Ulikuwa wakati mgumu kwa familia yake, kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama pamoja na Baraza la Wazee. Fuatana nami kwa matukio haya katika picha.
Mungu na awatie nguvu, Amen.
ReplyDeletejamani Edmund yaani sikuamini nilipoona kwenye blog nyingine!tatizo nini jamani poleni sana wafiwa mke na watoto pia poleni sana wana K/NYAMA Wenzangu tupo pamoja katika wakati huu mgumu!
ReplyDeleteSisi tulikupenda EDMUND MUSHI LAKINI MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI!
LEO NDIYO NAZIDI KUAMINI ZAIDI!NIMEWAMISS JAMANI KWELI!
Yaan leo ndio nimejua kuwa Mushi alikufa
ReplyDeleteNimesikitika sana kusoma hii habari japo ni miaka 13 imepita lkn moyo wang unona km ni habari ya leo.
Endelea kupumizika kwa aman Edmond