Ni Baada Ya Ibada Wachungaji Wakisikiliza Wimbo Ukiimbwa Kabla ya
Kumaliza ibada
Mchungaji toka Makambako Ndiye Aliyetoa Neno Siku Hiyo
Kwaya Kuu ya Kijito Wakiimba Pamoja na Kwaya Toka Makambako
Ni Mwalimu Kisasa Akiongoza Kundi Kubwa la Kwaya Kuu Wakiwa Pamoja
na Kwaya ya Wageni (Kwaya ya Uinjilisti Toka Makambako)
Kwaya Ya Uinjilisti Kijito Wakiwa Katika huduma. Kama Wanavyoonekana
wakiwa katika moja ya ibada iliyofanyika jumapili iliyopita.
Big UP vijana wa YESU niko nanyi.says NYINONDI GODWINE. Hi 2 Choirmembers. Espcially Joshua na wote wanifahamuo kwa sasa St.Johns University of Tanzania.(SJUT) DODOMA.
ReplyDeletegnyinondi@gmail.com nyinondig@yahoo.com
0769 263031