MESSAGE


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Monday, August 30, 2010

IBADA YA KUMUAGA LEAH NKONJELWA

Wapenzi wa blog hii, Jana Ilikuwa ni Siku ya Ibada Maalum ya Kuuaga Mwili wa Dada Yetu Mpendwa Leah Nkonjelwa Iliyofanyika Katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Kijitonyama.Ibada ilifanyika Majira ya Saa Nane Mchana Ikihudhuriwa na Watu Wengi Wakiwemo Ndugu Jamaa na Marafiki.

























2 comments:

  1. Kweli ni huzuni kubwa! Poleni sana wote. Roho Mtakatifu wa Mungu na awafunike kwa faraja yake isiyokikomo. Zab: 119:1-2.
    Revs Daniel and Hoyce.

    ReplyDelete
  2. Poleni sana wana Kijito. Mungu wetu awatie nguvu na kuwavusha katika hili pia.

    ReplyDelete