MESSAGE


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Monday, July 19, 2010

Kwaya ya Vijana Usharika Wa Kijito Yang'ara

Hawa ndo benchi la ufundi kwa upande wa vyombo!
Sehemu ya kwaya ya vijana wa usharika wa Kijito
Sehemu ya kwaya ya vijana wa usharika wa Kijito

Jana pia tulitembelewa na Askofu Skrenes wa ELCA Michgani
Alikuja na familia yake wakiwa ni watoto wa kiume watatu na mama yao.
Askofu Skrenes akiwa na mwenyeji wake msaidizi wa askofu.
Mch. George Fupe
Katika picha ya pamoja Askofu Skrenes akiwa na host families wake.
Baada ya ibada kabla ya neno la kuagana kwaya ya uinjilisti wakiwa wanamsikiliza
Mch. mchungaji kwa makini.

1 comment: