Ijumaa ya Tarehe 15 Julai Mdau, Atughanile Mwasomola aling'ara katika
Sendoff yake. Iliyofanyika mji kasoro bahari. Huku akisindikizwa na
wadau wenzie toka Dar.
Hapa akiingia ukumbini na wadau wa kwaya yake wakimsindikiza
Akiwa na mpambe wake baada ya kuingia ukumbini.
Akienda kumtafuta my husband wake mtarajiwa, huku akiwa na zawadi mkononi
Baada kumwona my husband wake mtarajiwa akampeleka mbele ya hadhara. Kama wanavyoonekana kila mtu na mpambe wake |
Akikata keki |
Kwa adabu kabisa akimpa shangazi zawadi kwa malezi mema
Mtarajiwa akiwa amepozi na baba na mama yake
Picha ya familia
Wanakwaya wenzake waliokuwepo katika send off ya Atughanile wakifurahi pamoja naye on the stage!
Wadau wakaona si vema kuondoka hivi hivi wakadondosha accapela moja la ukweli
Hao na jizawadi kuuuuubwa wakienda kumpongeza mwenzao
Wadau wakaamua kupiga picha ya pamoja kwa ukumbusho, na alama ya kwamba walifika katika send off ya mwenzao Atughanile
No comments:
Post a Comment