Hivi vikombe vimekuwa vingi mno mpaka tunashindwa kutambua kipi cha ukweli na kipi cha uongo!Ama sisi wengine ni wachanga kiroho mpaka tunashindwa kuzipima hizi roho?Anyway nasubiri majibu ya serikali ambayo yanacheleweshwa ili na mimi niamue kuwapeleka ama kutowapeleka ndugu zangu!

ReplyDelete