Katika hali ya huzuni, simanzi na majonzi mengi. Jana mnamo saa saba na nusu Mchana tulishuhudia Ibada ya Kumuaga Edmund Mushi. Ulikuwa wakati mgumu kwa familia yake, kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama pamoja na Baraza la Wazee. Fuatana nami kwa matukio haya katika picha.