Jamani mnaona.... ndivyo alivyosema dada Mage akishangilia ushindi
alipokabidhiwa kombe na viongozi wa kwaya.
alipokabidhiwa kombe na viongozi wa kwaya.
Dada Maggeni akifurahi huku akishikilia kombe
baada ya kundi lake la the BLUES kuwa washindi
kwa kutoa sadaka kwa wingi.
Jamani makundi mengine igeni mfano huu.
baada ya kundi lake la the BLUES kuwa washindi
kwa kutoa sadaka kwa wingi.
Jamani makundi mengine igeni mfano huu.
Parish Workers nao hawakubaki nyuma,
kama wanavyoonekana wakitoa zawadi
kwa aliyekuwa parish worker wa Kijito. Bi Monica Mshiu
kama wanavyoonekana wakitoa zawadi
kwa aliyekuwa parish worker wa Kijito. Bi Monica Mshiu
Jamani kwaya nzuri sana, ila tu wale watu wanaoenda NGWASUMA NA JUMAPILI WANAINGIZANA KUIMBA PALE JUU MIMBALANI DU NI DOA KWA KWAYA NZIMA... VIONGOZI MPU??? MNAJUA LIST YAO???
ReplyDeleteWapendwa tunapaswa kumwomba sana Mungu atuimarishe katika huduma yetu. Kila mmoja atambue thamani ya huduma yake. Tuwa na kiu ya kumjua Mungu zaidi. Hapo tutaweza kuishinda mitego ya mwovu Ibilisi. Mungu ametuheshimu kutupa huduma hii basi nasi tumheshimu kwa kuitenda kwa uaminifu.
ReplyDelete