MESSAGE


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Monday, February 15, 2010

Bi Pendo Avishwa Pete ya Uchumba!

Jamani kina kaka wenzagu hii picha imechuliwa kwa karibu zaidi
ilimjionee wenyewe
asije mtu akaiga au
kufanya kama hivi nilivyofanya kwa pendo.
"HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA" Alisema Donald


"Twaa pete hii iwe ukumbusho kwako kwamba mimi ndiye mpenzi wako
wa pekee na iwe SEAL asikuchumbie mtu mwingine. Nakupenda mpenzi wangu!"
Alisema Donald

Furaha ilipozidi hata maneno ya kusema yaliwaishia!


Sauti ya Kinyakyusa ilisikika ikisema "ndaga fijo kighane kyangu"
Ikimaanisha asante sana kipenzi changu

Dada Pendo akimkabidhi Donald zawadi ya Birthday.
Mmmh! Tabasamu lake tu kidogo jamaa aangushe zawadi!
Hapa akiwa ameshika zawadi maalum kwa mpenzi wake kumpongeza na Birthday

Wakiwa wenye furaha Kaka Donald siku ya Birthday yake
pia siku alipom-surprise Pendo kwa Engagement
Hili lilikuwa pozi tu la kumwangalia mtarajiwa wake. Mmmh... Jamani!

Hivi ndivyo alivyoonekana
akiwa ndani yavazi lake zuri lilivyoonekana

Akionekana mwenye furaha Dada Pendo siku iliyokuwa maalumu kwake.
Siku ya Valentine

No comments:

Post a Comment