MESSAGE


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Wednesday, February 17, 2010

Kwaya Ya Uinjilisti Kijito

Wakiwa mbele ya Lake Superior huko Marekani

Katika pozi kablaya kuanza concert
kutokea kushoto ni Mwemezi, Leah, Alatufisa, Lilian, Allen na Julieth


Wakiwa katika Pozi Huku wakiwa kwenye boti mpakani mwa Canada na Marekani
Wa kwanza kutokea kushoto ni Kuttyferra, Mwemezi, Lilian, Israel na Kigula

Wakiwa jukwaani walivyopendeza katika moja ya Concert iliyofanyika
Marekani mwaka 2007

Kwaya ya Uinjilisti Ikitoa huduma Ughaibuni Michigan, USA mwaka 2007


Kwaya Ya Uinjilisti Kijito Ilipotoa Huduma Usharika wa Azania Front

Wakiwa nje ya kanisa wakati wa kumaliza ibada

Katika mtazamo mwingine



Monday, February 15, 2010

Bi Pendo Avishwa Pete ya Uchumba!

Jamani kina kaka wenzagu hii picha imechuliwa kwa karibu zaidi
ilimjionee wenyewe
asije mtu akaiga au
kufanya kama hivi nilivyofanya kwa pendo.
"HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA" Alisema Donald


"Twaa pete hii iwe ukumbusho kwako kwamba mimi ndiye mpenzi wako
wa pekee na iwe SEAL asikuchumbie mtu mwingine. Nakupenda mpenzi wangu!"
Alisema Donald

Furaha ilipozidi hata maneno ya kusema yaliwaishia!


Sauti ya Kinyakyusa ilisikika ikisema "ndaga fijo kighane kyangu"
Ikimaanisha asante sana kipenzi changu

Dada Pendo akimkabidhi Donald zawadi ya Birthday.
Mmmh! Tabasamu lake tu kidogo jamaa aangushe zawadi!
Hapa akiwa ameshika zawadi maalum kwa mpenzi wake kumpongeza na Birthday

Wakiwa wenye furaha Kaka Donald siku ya Birthday yake
pia siku alipom-surprise Pendo kwa Engagement
Hili lilikuwa pozi tu la kumwangalia mtarajiwa wake. Mmmh... Jamani!

Hivi ndivyo alivyoonekana
akiwa ndani yavazi lake zuri lilivyoonekana

Akionekana mwenye furaha Dada Pendo siku iliyokuwa maalumu kwake.
Siku ya Valentine

YALIYOJILI KIJITO WIKI HII





Jamani mnaona.... ndivyo alivyosema dada Mage akishangilia ushindi
alipokabidhiwa kombe na viongozi wa kwaya.

Dada Maggeni akifurahi huku akishikilia kombe
baada ya kundi lake la the BLUES kuwa washindi
kwa kutoa sadaka kwa wingi.
Jamani makundi mengine igeni mfano huu.


Wanakwaya wakifurahi baada ya
Mwenyekiti msaidizi Edmund kuwashirikisha jambo.

Parish Workers nao hawakubaki nyuma,
kama wanavyoonekana wakitoa zawadi

kwa aliyekuwa parish worker wa Kijito. Bi Monica Mshiu

Ni kama anasema
"
Mnamwona Alivyopendeza?
Kijitonyama wanajua kutunza bwana"

Mch. Mzinga akisema jambo Juu ya utmishi wa wapendwa hawa.

Mwinjilisti Mshiu na mkewe wakipozi kwenye picha
wakati wa ibada ya kuwaaga baada ya
utumishi mzuri shambani mwa Bwana
waliyoifanya Kijitonyama KKKT