Fuatana nami ujionee matukio katika picha.
Sehemu ya waimbaji wa Praise Team ya Usharika wakiimba wakati wa ibada.
Tokea kushoto mwenye kitenge cha njano, ni Dr. Victoria Kisyombe, Nancy Buchcuski, Lilian Kinyaha na Mtui.
Waumini waliohudhuria ibaya hiyo wakisikiliza kwa makini
Wachungaji wakifanya maombezi wakati wa ibada.
Mavuno kama yanavyoonekana kwenye picha
Sadaka ya mavuno kama inavyoonekana vikiwemo vitunguu na ndizi.
Ndizi zilizonona zilizoletwa kama sadaka ya mavuno.
Vijana hawa Anderson akiwa na mwenzie wakiwa wameinyanyua juu ndizi ili ionekane kwa watu wote wakati wa kuibadilisha sadaka hiyo kuwa katika mtindo wa fedha.
Mzee Nikubuka Shimwela akifanyama mnada.
Mzee Nikubuka Shimwela akifanya mnada wa kuku.
Wazee wa Usharika wakijitokeza kununua bidhaa hizo ili ziwe katika mfumo wa fedha.
Baadhi ya wazee wa baraza wakisema ni nini wanamtolea Mungu .
Mzee wa busara Charles Mwalongo akiwa tayari kutoa risiti kwa bidhaa zinazonunuliwa.
Kitengo cha mahesabu wakifuatilia na kutunza kumbukumbu. |
Hongera kwa kazi nzuri tunashukuru umerejea hewani. Mungu akubariki
ReplyDelete