MESSAGE


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Tuesday, February 21, 2012

Hatimaye Valentine Kamugisha Auaga Ukapela

Ilikuwa siku ya furaha na vifijo na ndelemo siku Valentine Kamugisha alipojitwalia jiko na kuamua kuuaga ukapela aliposema "I DO" kwa dada Nesta Kyobya. Na mambo yalikuwa hivi katika Kanisa K.K.K.T - Kijitonyama.