Ule wakati uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu ndo huu hapa umewadia.
Enheee! Si wengine bali watoto wa Kijito, Namaanisha Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama.
Watakuwa na Live Shooting ( Video Recording) Ijumaa ya wiki hii . Watasindikizwa na Kwaya mbalimbali.
Utajuta ukikosa kushuhudia yatakayojiri siku hii. Mtaarifu na mwengine pia.
Kwa maelezo zaidi fuatilia picha hii hapa chini.