MESSAGE


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Wednesday, March 17, 2010

Sattelite Dish Technicians

Mafundi wa Satellite dish hawa hapa.
Kwa mtu anayehitaji kufunga Dish
ili kuona Local channel za tv pamoja na hizo nyingine
za ughaibuni wasiliana nao kwa namba zifuatazo.
0713-844 944 na 0654-386 407

Wanapatikana Namanga- Dar es salaam.

Fundi Faraji akiwa katika kazi anaweka LNB
sawa ziweze kunasa frequency vizuri
Julius anacheck LNB na Dish kama viko katika mwelekeo sahihi.

Signal checking!

Hapa anaunga LNB mbili

Hivi ndivyo dish linavyoonekana katika hatua za kuwekwa sawa